Wahapahapa Live Coco Beach Print
28 Septemba 2010

Hili lilikuwa onesho la wazi lililofanyika mwaka 2009 katika ufukwe wa Coco. Wahapahapa walitumbuiza wapenzi wa muziki takribani elfu thelathini. Pamoja nao walikuwepo wanamuziki wengine wakali kama Banana Zorro, Enika, Flora Mbasha, Karola Kinasha, Mzee Yusuf na Jahazi lake, na wengine wengi. Hebu pata sehemu ya uhondo wa tamasha hilo.