Show ya Chege na Temba Print
28 Septemba 2010

Cheki vijana hawa wa Wanaume TMK walivyolivalia njumu suala zima la kuwafikisha kileleni washabiki wa muziki wao siku walipopatiwa fursa ya kuwarusha watu pale Coco Beach. Hatuna haja ya kuongea sana, pata mzuks kwa hisani ya blogu ya Bongo Star Link.