Mpemba Halisi Print
28 Septemba 2010

Mrisho Mpoto sio mshairi peke yake nchini Tanzania, washairi wanazidi kuwafikia wapenzi wa tasnia hiyo ya muziki kila kukicha. Katika tembetembea yangu katika mablogu mbalimbali nikakutana na huyu bwana anayekwenda kwa jina la mpemba halisi katika blogu ya jamii.

Sitaki kuongea sana, tazama video hiyo hapo juu kupata meseji. Jamaa yuko katika mtindo wa Kimalenga zaidi, na video hii ilipigwa siku ya kupinga Madawa ya Kulevya Duniani.