Kajumulo na Bush Band Print
28 Septemba 2010

Unamkumbuka Alex Kajumulo? Jamaa alikuwa ni mpigaji soka wa Tanzania, halafu akaenda zake mamtoni kupiga boli, akawa tajiri wa kufa mtu, akarejea Bongo miaka fulani ya mwanzo mwa 2000, akanunua timu nadhani ilikuwa ya Sigara ile. Wakamzingua, akabeba mikoba yake na kurejea zake mamtoni. Hii ni taswira ya awali ya Kajumulo. Kwenye pitapita zetu kwenye blogu ya jamii, kama kawaida tukakutana na hii, Kajumulo kavamia steji, hebu ideku mdau.