Muziki Wa Dansi ndani ya Ulaya Print
28 Septemba 2010

Nimeona tuwapatie wadau wa muziki wa dansi waone jinsi Muziki wa dansi unavyoendelezwa huku Ulaya na kina Saidi Kanda (Ex- Matimila), Moses (Ex-Muungano dancing troupe) na wote kikosi hiki cha muziki wa dansi ktk kibao kwa jina Afrika , hii ni changamoto kwa old skul Tanzania ya muziki wa dansi.

Mdau wa Blogu ya Jamii