Bongo Flava au Hip Hop? Print
29 Novemba 2010

Kutoka katika Filamu ya "Mwamba Ngoma" tunaendelea kuzungumzia muziki wa Tanzania kwa kukumegea ndogondogo toka kwenye tambara hilo. Leo tunazungumzia Bongo Flava na Hip Hop, nini asili yake, nini ni nini,

wapi yalipotoka majina ya muziki huu tunaoita wa kizazi kipya.

 

Kipande hiki kinazungumzia yote, haina haja ya kuendelea kuandika sana hapa, kula elimu ya muziki wa Bongo.