Flora Mbasha Print
06 Desemba 2010

Juma hili tunaendelea kudodosa filamu ya Mwamba Ngoma, na aliye kwenye safu hii juma hili si mwingine bali mwanamuziki wa nyimbo za injili (Gospel), Flora Mbasha. Flora anaelezea yaliyojiri katika utengenezaji wa video yake iliyowahi kujiri pia katika albamu ya Mseto wa Wahapahapa.

 

 

Video na wimbo wake umelala kwa mhusika anayekwenda kwa jina la Tausi, tazama video hii na kujionea wewe mwenyewe ni kipi kinachojiri pale.