Uzinduzi wa Albamu ya Hard Mad Print
16 Desemba 2010

Hii ni sehemu ya show ya Hard ambayo tulipata kuizungumzia hapo awali. Show hii ilikuwa ni maalum kwa ajili ya uzindizi wa albamu yake ambayo amezama zaidi katika

tasnia ya muziki wa reggae.