Chidi na Wakali wa Mitindo Huru Print
03 Januari 2011

Chiddi Benz, Chiku na washkaji zake wakifyatuka na Hip Hop ya Kibongo wakitumia mtindo huru kuachia mashairi yao ambayo yako katika namna fulani ya kujigamba, hata hivyo Hip Hop ilitokea katika majigambo kwa hivyo tunakanyaga na kusongesha. Kuna habari pia kwamba siku zi nyingi Chidi Benz ataelekeza mashambulizi yake ya fani katika kutangaza Luningani, wako waliompa big-up kwa move hiyo, lakini pia wako waliokerwa kwa kile walichodai ni Chiddi kuacha fani na kwenda kufanya kazi ya kutumwa. Wewe unaonaje?

Enjoy de video mate!