Banana Zorro Live - Diamond Jubilee Print

Banna Zorro Diamond JubileeBanana Zoro akichapa kazi katika Tamasha la kwanza kabisa la muziki la Wahapahapa, lilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, mwaka 2008. Tazama video hii uone mtoto wa kiume anavyolisakanyua jukwaa. Tanzania ina bahati mno kuwa na huyu kijana.