Off Side Print
25 Julai 2011

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo huyu jamaa huwa inakuja tofauti. Katika filamu hii kubariziwa masuala ya mapenzi, chuki, kupigizana kelele kaitika familia na masula mengine kadhaa wa kadhaa. tazama trela la Off Side